NEW : Tazama mauno ya JOTI na CHRITIAN BELLA kwenye harusi ya JOTI || READ MORE


Mwigizaji na mchekeshaji marufu kama JOTI  siku ya jumamosi ya tarehe 28 amefunga ndoa kwenye ukumbi wa MLIMAN CITY harusi hiyo ilihudhuliwa na watu maarufu kama MPOKI, MASANJA na wengine wengi.

Mbali na watu maarufu harusi hiyo ilihudhuliwa na makampuni mbalimbali ya mitandao mbalimbali kama TIGO ambao pia anafanya nao kazi AZAM na DSTV harusi hyo ilirushwa live kwenye runinga ya AZAM TV katika channel ya CINEMA ZETU .

Nimekusogezea matukio kwa njia video kupitia #MillardAyo.com

WATCH 

Download your favorite Music via JM MUSIC MEDIA safety from MALWARE  (VIRUS

Stay with JM MUSIC MEDIA for more AUDIO and VIDEO updates over all African artist click  HOME  to get back for latest updates and breaking news 

Hi, Thank you for visiting AFRICA Songs Website , i believe you did enjoy the Songs we shared here .Well, My name is JOHN PETER LAURENT, a founder of this site, I love music, especially TANZANIA musics . I do love to serve than to be served.

 Therefore i have taken upon myself, to serve you with all the latest AFRICA Songs. Yes, i'm a music promoter and event organizer, so feel free to link up, Serve and support our musician for development of AFRICAN CULTURE and countries in general.

No comments

Powered by Blogger.